Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Tuesday, September 2, 2014


Kuna kitu kinanichanganya ni kweli hamna waoaji siku hizi au wanawake wanachagua sana?

014 Wanawake Wanataka Ndoa Lakini Hawapati, Ni Kweli Hamna Waoaji? | Udaku Specially| Home of Gossip News
http://www.udakuspecially.com/2014/09/wanawake-wanataka-ndoa-lakini-hawapati.html 2/2
Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.
Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa
single mums.
Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?
Au ni gharama za harusi?
Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.
Na hamuwatendei haki wanawake.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni