Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, September 19, 2014

SCOTLAND YAKATAA KUJITENGA NA UINGEREZA

Wananchi wa Scotland waliokuwa wakitaka kujitenga na Uingereza wakiangua kilio huku walioshinda wakiwa na furaha baada ya matokeo kutangazwa.
MATOKEO ya kura za maoni nchini Scotland yametoka, kura 1,914, 187 sawa na 55% wamepinga kujienga na Uingereza huku kura 1,539,920 sawa na 45% wakitaka kujitenga.
Kwa matokeo hayo, Scotland itaendelea kuwa sehemu ya Uingereza na Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni