Naitwa naomi, kweli niliposikia kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni nilifurahi kwa kuwa niliona kama vile yanakuwa kweli lakini sasa hivi nimeanza kupata mashimo mashimo pia yanauma sana mpaka yanakuwa mekundu, ukweli yamekuwa mzigo kwangu Hata sijui Nifanyaje Jamani ...? Naombeni Ushauri jamani
Thursday, September 18, 2014
Dawa za Kukuza Makalio Zimenitokea Puani , Oneni Nilivyoharibika..Najutaa Sana Jamani
Posted by Unknown on 7:33 AM with No comments
Categories:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment