Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, September 18, 2014

Imetokea Mitaa ya Coco Beach DAR
Imetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake akaenda nalo BEACH alipofika kwa mbwembwe akamkabidhi DEMU wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA bana si akalipandisha milimani kule kwa mwedo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.
Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi nae kavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono daaaah Mbwembwe hazifai.
Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama kafiwa na mumewe.
NB: Imewekwa kama ilivyotumwa. 
CREDIT:GONGMIX

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni