Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, September 19, 2014

BAADHI ya wanawake huolewa kwa sababu zifuatazo

1. Kukataliwa na aliyekuwa akimtaka
2. Kuondoa mkosi
3. Kujionesha kwa wanawake wenzie
4. Kujaribu maisha ya ndoa
5. Kuwania kitu fulani kwa mume au kazini
kwake
6. Kukwepa maisha ya kwao
7. Kumjaribu mwanaume kama anajua
mambo
8. Kuiga (kama alivyoolewa fulani)
9. Kumkomoa zilipendwa wake na
10. Kutengeneza historia
Ndoa za namna hii huwa hazidumu na
wanawake wa aina hiyo hata mnapogombana
huwa
wanarudi makwao.
Ndoa haijaribiwi-Ndoa ni maisha

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni