Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 9, 2014


Katika mwezi huu mpya
=> Utafanikiwa kimaisha,
=> Hutahuzunika mwezi huu
=> Hakuna silaha itakayoelekezwa kwako
ikafanikiwa
=> Mungu atayafanikisha mahitajo yako kwa
kadri uombavyo
=> Kila uendako utapokelewa kwa furaha na
mafanikio
=> Kila walio kukataa na kukuona hufai
watayashangilia mafanikio yako,
=> Hutakufa,
=> Magonjwa hayatakuandama
=> Utaishi kwa furaha,
=> Utakuwa mshindi kwa kila jambo,
=> Kila jambo chungu lililopo mkononi mwako
litageuka kuwa furaha
=> Kila kidole kitanyooshwa kwako na kukuita
"MWENYE BAHATI".
Comment 'amen' na kila kitu kitakuwa sawa
kwako

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni