Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 14, 2014

Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani.
MKE wa mwanamuziki Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa Malaria. 
Marehemu aliugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kabla ya mauti kumfika na mwili wake unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika Makaburi ya Kola mkoani humo.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Afande Sele aliandika hivi baada ya msiba huo:
Akiwa na Afande Sele, Mama Tunda alijaliwa watoto wawili, Tunda Selemani na Asantesana Selemani.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni