Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 21, 2014

Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. …. What more can I SAY??#MWANALIZOMBE.”
 
Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake ‘Tatu Chafu’. Usiongeze neno. Chukua sentensi alizoandika mkubwa.
PROF

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni