Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 18, 2014

nickiRapper wa Young Money Nicki Minaj amevunja rekodi ya mfalme wa pop duniani marehemu Michael Jackson. Rekodi aliyovunja Nicki Minaj ni rekodi ya kuwa na nyimbo nyingi zaidi kwenye chart kubwa za muziki duniani za Bilboard.
Wimbo mpya wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ umeshika namba 19 nakumwezesha kumpiku Michael Jackson ambaye aliweka rekodi hii kwa kuwa na nyimbo 50 zilizowahi kushika chati kwenye bilboard sasa Nicki Minaj ana nyimbo 51 ambazo zimemfanya awe kwenye kiwango kimoja na msanii Rod Stewart.
Hii Post ya Nicki Instagram.
nicki 2

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni