YEYE : " Jamani Baby nimeshafika muda mrefu nipo hapa kituoni nimechoka kweli Darling,juu nimevaa fulana nyeupe na chini nguo ya pinki,jaman I miss you my Baby come please!!!"
MIMI:"Waooh! Ok nimekuona Sweet heart nakuja,nisubiri hapo hapo,umependeza kweli Mpenzi,I cant wait hugging U!"
Kisha nakata simu na kuparamia daladala linapokwenda sijui, kichwani najiuliza mbona sio yeye, picha aliyoweka Facebook ni tofauti na alivyo, NIMEKOMA...na nyie mnaotafutia Facebook mkome!!!
0 comments:
Post a Comment