Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Wednesday, August 6, 2014

Laana ya Mama Yamtisha Wema Sepetu


NYOTA wa Filamu za kibongo Wema Sepetu amesema kuwa katika
maisha yake anajitahidi hakosani na mama yake mzazi, Mirium Sepetu ili
kukwepa kupata laana ya kile ambacho anaweza kumtamkia na
kuharibu mwelekeo mzima wa malengo yake aliyojipangia kuyatimiza
akiwa ndani ya ndoa yake……

Akizungumza na Mpekuzi, Wema alisema kuwa ndio maana kipindi
ambacho mama yake hakutaka kuolewa na mchumba wake Nasibu
Abdul ‘Diamond’ hakupenda kutumia nguvu ama uwezo wake wa
kifedha kumpuuza mzazi wake kwani anaamini angemuumiza na
kumfanya amtamkie maneno mabaya

“Natambua fika kuwa Mungu ametuagiza kuwaheshimu wazazi wetukwani hawa ni miungu wadogo, wakitamka neno lolote baya baada ya
kuwaudhi huwa linaumbika na kuwa shida kwa mhusika, ndio maana
wakati anaweka mikingamo ya mimi kuolewa na Diamond
sikulazimisha bali niliendelea kumsihi akubali.” Alisema Wema.

Penzi la Wema na Diamond linazidi kupamba moto hasa baada ya hivi
karibuni kuvishana pete nyingine ya uchumba baada ya mama Wema
kubariki penzi lao

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni