Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Tuesday, August 12, 2014

Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo
cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam
alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za
kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha ya matusi kwa askari wa usalama barabarani Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kinondoni,
Camillius Wambura alithibitisha jana kukamatwa kwa
Kibonde na kwamba walikuwa
wakiendelea kufanya uchunguzi wa tukio hilo.

Hata hivyo taarifa zilizopatikana jana jioni zilidai kuwa Kidonde aliachiwa kwa dhamana wakati uchunguzi ukiendelea.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni