WAKAZI wa Mbezi juu wamefurika kumuona mmyama Kakakuona ambaye ni adimu sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata bahati katika maisha yao kumuona kiumbe huyo, ana kwa ana baada ya kumsikia na kumsoma katika vitabu.
SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Saturday, August 16, 2014
KAKAKUONA AONEKANA DAR
Posted by Unknown on 2:57 PM with No comments
Categories:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment