Ommy Dimpoz na Jokate |
Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa muda sasa ila kwa siri kubwa ikidaiwa wote hawakuwa tayari kuweka uhusiano wao hadharani na media kuanza kuwafuatilia. Inadaiwa pia kuwa Ommy alikuwa anatoka kimapenzi na Vanessa Mdee lakini baada ya Vanesa kugunduakuwa Jokate anamzunguka zikawa haziivi tena na huchekeana kinafiki tu wakikutana in public. Kwasasa Jokate na Ommy wanaliendeleza libeneke la huba kwa siri ingawa gossip mongers tayari wameshawawahi !. Habari zinaingia ndani zaidin kwa kusema kuwa Jokate alikuwa pia akienda mikocheni alipodaiwa alikuwa nakaa Dimpoz sababu ya penzi kukolea.
Hata hivyo si Jokate, Ommy wala Vanessa ambaye amepatikana kuzungumzia issue hii but habari akiziona watafunguka tu.
Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz
0 comments:
Post a Comment