Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 21, 2014

IDADI YA WALIOKUFA KWA EBOLA YAFIKIA 1,350

Mgonjwa wa Ebola akipelekwa eneo maalum kwa matibabu nchini Sierra Leone.
IDADI ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ebola huko Afrika Magharibi mpaka sasa imefikia 1,350 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Afya Duniani (WHO) huku watu 106 wakiripotiwa kufariki kati ya Agosti 17-18 mwaka huu.
Ugonjwa huo ambao husambazwa moja kwa moja kupitia majimaji ya mwilini kutoka kwa mgonjwa mpaka sasa bado hauna tiba.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni