Miaka michache iliyopita rapper Joe Budden alihusishwa na kumpiga binti aliyetajwa kuwa mpenzi wake ila kesi hio ilimalizwa na familia, Tmz wameripoti kuwa Joe anakabiliwa na kesi nyingine ya kumpiga na kumsababishia mpenzi wake majeraha mwilini.
Watu wa karibu na star huyu wanasema chanzo cha ugomvi ni binti huyo kuweka picha mtandaoni akiwa na marafiki wa kiume kwenye mgawaha flani wakipata chakula, Joe aliendesha gari mpaka alipokuwa mpenzi wake na kumtoa nje,kilichofata ni kipigo mbele za watu.
Joe Budden amekuwa akijibu tuhuma hizi mitandaoni kwa kusema “Mpenzi wake alikuwa anatafuta ummarufu tu na kwamba yeye hapigi wanawake”. Hizi ndio piha za binti huyo.
0 comments:
Post a Comment