Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 14, 2014

Baada ya kushinda tuzo za African Muzik Magazine Awards, Diamond ameshukuru tena mashabiki wake kwa kushinda hii tuzo kutoka Burundi, Ameandika ujumba huu instagramAsante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi…..
Dmd

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni