Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014

BABY MADAHA NUSRA KUBAKWA... SOMA CHNZO

Baby Madaha nusra abakwe
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo,
Baby Joseph Madaha amenusurika
kubakwa nchini Kenya baada ya
kupanda jukwaani akiwa ametinga
kivazi cha nusu utupu.

Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita
katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi
nchini humo ambapo mwanadada huyo
alipopanda jukwaani akiwa amevaa sketi
fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa
ya mapaja wazi, wanaume wakware
walianza kumvutia chini kwa nguvu

 

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni